Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama Museveni atasalimika safari hi. This is the use of chemical weapons! je Jiwe? time will tell!R.I.P Bobi Wine.
Utasubiri sana na dua lako la kuku.Sidhani kama Museveni atasalimika safari hi. This is the use of chemical weapons! je Jiwe? time will tell!
Utasubiri sana na dua lako la kuku.
sawa. na atumie chemical weapons katika harakati za kuwa silence wapinzania utaniambia!Utasubiri sana na dua lako la kuku.
Unamlazimisha?sawa. na atumie chemical weapons katika harakati za kuwa silence wapinzania utaniambia!
hapana, sina uwezo, ila anaelekea huko! kwa hiari yake mwenyewe! Hata la Lisu halijapata wa kulipigia debe internationally, .......Unamlazimisha?
Sasa si ulipigie debe wewe, unangoja nini?...Hata la Lisu halijapata wa kulipigia debe internationally, .......
Amesha muua!Aisee museveni anataka kumuua
Hapo sasa!Sasa si ulipigie debe wewe, unangoja nini?
Bobi Wine atalipandisha!Sasa si ulipigie debe wewe, unangoja nini?
Haya, mwache alipandishe tu.Bobi Wine atalipandisha!
Let us be sincere, hivi huoni mapungufu yoyote ndani ya Jiwe? be sincere!Haya, mwache alipandishe tu.
Amesha muua!
Hivi we mwanamke ni wakala wa shetani au? Mbona una roho mbaya sana?Hapo sasa!