Bobi Wine's message to Museveni about giving money to Ghetto Yuti

Akishavuta cheki yake nani amuue anatulia tuli ananunua hisa kwenye kampuni ya Total.
Anaishi maisha mustarehe.anafungua Ngo yake ya kusaidia vijana maskini.
 
Nimewai siti ila amesharudi kupambania uhuru
Maneno ya kijinga sana haya. Maana yake wewe ni mtazamaji badala ya kuwa mshiriki au muhamasishaji. Amesema 'tatizo si watu waovu bali watu wema wanaokaa kimya maovu yakifanyika'.
 
Vijana wa sasa ni janga la kitaifa. Cheki, mkwanja, kutoka, ....... ndiyo mwisho wa fikra zenu. Vyuo vikuu sasa vingi lakini elimu kidogo.
 
Vijana wa sasa ni janga la kitaifa. Cheki, mkwanja, kutoka, ....... ndiyo mwisho wa fikra zenu. Vyuo vikuu sasa vingi lakini elimu kidogo.
Nina uhakika hujanielewa kabisa, halafu mi sio kijana, naelekea utu uzima sana, nisome tena kwa utuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…