Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mrembo kutoka Nigeria bobrisky kupitia IG yake ameposti picha ya star wa bongo fleva diamond platnumz, huku akionyesha ni jinsi gani anavutiwa naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gigy uyoMnaijeria katisha kwa kiswahili fasaha,hongera yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani mtoa mada, umemuita 'mrembo'.??? Mpaka nimeshtuka.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heee eti mrembo aiseeee
Lokole atakua kapanic balaa
wapiii huo mwandiko wa Gigy mapesaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu kidampa kumbe anajua kiswahili hivi? Km nawaona lokole na Noel wanavyopigana vikumbo uwiiiiih lol.
wapiii huo mwandiko wa Gigy mapesaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu kidampa kumbe anajua kiswahili hivi? Km nawaona lokole na Noel wanavyopigana vikumbo uwiiiiih lol.
Na mond pia kamuweka insta Story, Bonge la kick