mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Simba ikishindwa kupata matokeo uwanjani bila sababu yeyote utasikia shabiki anaanza kuwalaumu Mara Bocco Mara Mzamiru,nyoni na Onyango.
Kwa siku za nyuma ilikua Wawa pia.
Siku za hivi karibuni kaongezeka Mkude na kapombe hata wasipocheza watalaumiwa tu..hili ni kwanini??
Je suluhisho la matatizo ya timu zetu ni usajili tu?
Kwa siku za nyuma ilikua Wawa pia.
Siku za hivi karibuni kaongezeka Mkude na kapombe hata wasipocheza watalaumiwa tu..hili ni kwanini??
Je suluhisho la matatizo ya timu zetu ni usajili tu?