hili nakazia, imagine mpaka sehemu kubwa kama k/kooTatizo lipo pia gongo la mboto, sehemu za watembea kwa miguu wapika chips wameweka majiko watembea kwa miguu wanatembea kwenye njia za magari, hii inaleta msongamano kuanzia gongo la mboto hadi tazara, hivi kweli tunajenga barabara za lami kwa ajili wa kuweka majiko ya mishikaki na chips? kweli watu wachelewe kwenda majumbani kazini kisa magari yameshindwa kupishana na majiko ya nyamachoma? mbaya hizo nyama wanatia pilipili na sijawahi ona mtu akinunua na hawafilisiki nadhani kuna mtu anafadhili hizi kero
Naunga mkono hoja, wamejaa mijini huko sio kawaida. Hawa waishie nje ya miji, ni aheri hata bajaji.Ninashauri waondolewe pale,, kwanza bodaboda mjini hawatakiwi,, tujifunze majiji ya wenzetu
bajaji ndo wendawazimu zaidiNaunga mkono hoja, wamejaa mijini huko sio kawaida. Hawa waishie nje ya miji, ni aheri hata bajaji.
na ukikaa vibaya wanakugonga wale jamaaBoda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa abiria watembea kwa miguu wanapata shida kutembea kwa uhuru hadi kuna Wakati mwingine wanaleta msongamano kwa kupaki bodaboda zao kati Kati ya barabara za watembea kwa miguu .Naomba Mamlaka husika iwataftie eneo maalumu kwa ajiri ya kusafirisha Abiria.
kweli hawana maana, na hata ukiuza huduma wanaanza kutizamana they are not there for business wako ku create kero tuHii Mikandio iliyopigwa humu siyo ya kawaida,vijicho,husda na vijino pembe ni kila mahali kuwahusu Bodaboda na Bajaji!
Aisee ndugu zangu Bodaboda na Bajaji tukae mkao wa kuliwa,siyo Kwa Nongwa hizi!
Mamlaka zipi ?Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa abiria watembea kwa miguu wanapata shida kutembea kwa uhuru hadi kuna Wakati mwingine wanaleta msongamano kwa kupaki bodaboda zao kati Kati ya barabara za watembea kwa miguu .Naomba Mamlaka husika iwataftie eneo maalumu kwa ajiri ya kusafirisha Abiria.