Boda ya Tunduma ipo busy kuliko boda zote Afrika Mashariki

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
"70% ya mzigo unaoshuka bandari ya Dar-es-Salaam kwenda nchi za jirani unatoka Tanzania kupitia Boda ya Tunduma. Ile ndio boda ambayo iko bize kuliko boda zote Afrika Mashariki hivyo hii tayari ni fursa kwa mwekezaji" - @Davidkafulila0 Mkurugenzi wa kituo cha ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) @pppcentretanzania

#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

My take. Inakuaje barabara TANZAM haipewi kipaumbele sawasawa na umuhim wake?

Kwa nn reli ya TAZARA haipewi kipaumbele sawasawa na umuhim wake?
FB_IMG_1724174108052.jpg
 
Barabara njia nne ni muhimu sana kwa sasa ....Kibaha hadi Tunduma...
 
Back
Top Bottom