"70% ya mzigo unaoshuka bandari ya Dar-es-Salaam kwenda nchi za jirani unatoka Tanzania kupitia Boda ya Tunduma. Ile ndio boda ambayo iko bize kuliko boda zote Afrika Mashariki hivyo hii tayari ni fursa kwa mwekezaji" - @Davidkafulila0 Mkurugenzi wa kituo cha ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) @pppcentretanzania
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba
My take. Inakuaje barabara TANZAM haipewi kipaumbele sawasawa na umuhim wake?
Kwa nn reli ya TAZARA haipewi kipaumbele sawasawa na umuhim wake?