Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Jan 28, 2017 #1 Habari zenu wana jamvi mimi ninauhitaji wa boda boda ambayo ni used kwa ajili ya mishe mishe zangu, kama uko dodoma na unaiuza au una jamaa anayeiuza boda boda tafadhali ni PM au weka specifications zote hapa na bei usisahau.
Habari zenu wana jamvi mimi ninauhitaji wa boda boda ambayo ni used kwa ajili ya mishe mishe zangu, kama uko dodoma na unaiuza au una jamaa anayeiuza boda boda tafadhali ni PM au weka specifications zote hapa na bei usisahau.
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Jan 28, 2017 #2 Boda boda au piki piki mkuu?
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Jan 28, 2017 Thread starter #3 Shedangio said: Boda boda au piki piki mkuu? Click to expand... haya basi piki piki.