Bodaboda - Jeneza linalotembea!

Bodaboda ni jeneza linalotembea barabarani.

Japo wanasiasa wanawapa majina ya kuwamotisha -MAAFISA USAFIRISHAJI- Muda wowote watu wanaweka turubai tayari kwa mazishi.

#Tuchukue tahadhari#
#Linda uhai#
Kuna dogo amefariki kwa ajali ya pikipiki hata mwezi haujaisha.

Dogo kamaliza chuo ndiyo kaanza kulea, kakatizwa uhai hihihivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…