Bodaboda kahojiwa EAST radio kasema anaingiza laki 9 kwa mwezi

Bodaboda kahojiwa EAST radio kasema anaingiza laki 9 kwa mwezi

Maishà n malengo tu mkuu inawezekana sana tu akawa anaingiza hyo helaa,maana hapa mtaan Kuna jamaa anaokota makopo tu na kapambana nayo mpk kanunua boda yake mpya na sasaa n boda boda.vuta picha km muokta makopo kaweka malengo nakununua boda je ,kwann ushangae huyo boda kushika laki 9 Kwa mwezi mkuu...

Kuna jamaa Leo niliona Uzi wake uku akisema Tanzania Hela ipo sana n kuchangamsha akilii tuu
 
Mpaka hapo hii sio kazi ni mateso labda uwe unatoa day worker jioni
Kwangu mimi sio mateso, niko nateseka kwenye biashara ambayo mtaji ni mkubwa na nagawana faida na watu kibao mara serikali, mtaa, mwenye nyumba, mfanyakazi, mlinzi, mfanya usafi, fundi, bodaboda wa delivery. Alafu ina low season ya miezi kama minne kwa mwaka, bajaj sijaona kama ina low season.

Sijaoa wala sina mtoto, sitarajiwi na yeyote kwamba nirudi mapema au niage watoto wakiamka au nikague maendeleo yao. Kulala saa sita na kuamka saa kumi kitu gani bwana. Si nafanya for 2 years navuna ROI na faida juu, nawekeza vitu vingine. Alafu mchana hakuna wateja wengi so naweza paki au nikampa deiwaka nikaingia ofisini kwangu kuzuga, nimegundua vijana kufanya kazi moja unachelewa sana. Nilitafakari nikaona nikijilipua nikawa dereva bajaj naongeza kipato. Ofisi si naweka mtu aendeshe, kazi yangu kumonitor stock, order, marketing, vitu ambavyo havitumii hata muda mwingi.
 
Back
Top Bottom