Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Sijamaliza hata miezi mitatu tangu nimiliki funguo ile watu wanaichomekaga kwenye ruksi za suruali inaonekana kwa nje hivi, nishaanza kuona 'joto ya jiwe' ya kumiliki usafiri!
Juzi Jumatano nilikua natoka kwa Aziz Ally kumpeleka 'rafiki yangu wa kike'. Wakati narudi ishakua usiku mishale ya ngoma nne hivi nafika pale Tazara kuingia Buguruni Sheli foleni imenuna!
Bodaboda bangi sana hawa jamaa!
Naona ile harufu ya petrol inawaathiri maana tanki la mafuta liko kwa pale mbele wanavuta ile hewa muda wote.
Katikati gari zimeshona, hakuna upenyo wa kupita. Pembeni kuna mtaro mkubwa tu. Wassenge sijui huwa wanawahi wapi, wakaanza kuforce kupitia pembeni hivo hivo!
Wa kwanza kapita, wa pili mssenge yule kapita kasi na 'Side Mirror' yangu Paaah.... Huyoo mafuta. Nikashuka nikakagua nikaona haijapasuka, sema imelegea kwa mbali.
Foleni ikatembea nikawahi getto kuendelea na kazi (online freelancer) kwahiyo usiku ndio muda wangu mzuri wa kupiga kazi.
Aisee leo asubuhi niko Mliman City naenda Mwenge ile 'Side Mirror' ikang'oka ikawa inaning'inia! Nikawasha indicator ya kulia, nikakunja pale round about ya MLIMANI TOWER nikarudi kwa fundi wangu Sinza.
Fundi anasema bahati nzuri Kioo hakijapasuka, lasivyo ningelazimika kununua 'Side mirror' nyingine 120,000.
Hivo Gharama nilizoingia:
Bolt = 4,000
Gundi Fulani hivi = 2000
Ufundi = 8,000
Tip = 5000
Jumla 19,000
Hiyo 'Tip' niliamua kumwongezea fundi jamaa ana nidhamu sana ya kazi. Maana kabla sijafika kwake nilipita garage moja pale kwa Kakobe fundi akaniambia kurekebisha hapo gharama ni 45,000!