Bodaboda kumi wafariki dunia ajali ya lori Migori, Kenya

ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
15,265
Reaction score
29,991


Kenya. Watu 10 wamepoteza maisha leo Jumamosi Aprili 8, 2023 katika Kaunti ya Migori nchini Kenya kutokana na ajali ya lori ambalo inaelezwa lilifeli breki na kuparamia kijiwe cha bodaboda Watu hao waliopoteza maisha inaelezwa ni vijana wa bodaboda waliokuwa wakisubiria wateja kwenye kijiwe chao.

Taarifa ya awali kupitia mtandao wa Tuko nchini Kenya imeeleza kuwa lori hilo la kubeba mchanga, lilipoteza mwelekeo na kugonga kundi la bodaboda ambao walikuwa pembezoni mwa barabara wakisubiri abiria.
Watu hao waliopoteza maisha inaelezwa ni vijana wa bodaboda waliokuwa wakisubiria wateja kwenye kijiwe chao.

Taarifa ya awali kupitia mtandao wa Tuko nchini Kenya imeeleza kuwa lori hilo la kubeba mchanga, lilipoteza mwelekeo na kugonga kundi la bodaboda ambao walikuwa pembezoni mwa barabara wakisubiri abiria.

Source: Mwananchi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu Mk254 mbona hizi za kwetu wakaa kuziruka.
Rafiki wamenyamazishwa milele
 
Kifo kikiamua hukukuta popote.kuna jamaa alikutwa kachill home Kwa sofa forever....hajaumwa Wala nini
 
Wapumzike kwa Amani Marehemu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…