Ukanda wako ni upi ma'am?Kama ule Ukanda wangu imekuwa vurugu sasa...
Bodaboda akifa hata kiongozi wa Ibada hasikilizwi....utaratibu haufuatwi....Ni vurugu hadi unamuonea Marehemu huruma....
Kilimakyaro Rrondo😄Ukanda wako ni upi ma'am?
Huko ukanda wenu waendesha boda wamevurugwa na kuvurugika kabisa.Kama ule Ukanda wangu imekuwa vurugu sasa...
Bodaboda akifa hata kiongozi wa Ibada hasikilizwi....utaratibu haufuatwi....Ni vurugu hadi unamuonea Marehemu huruma....
Huo utaratibu aliuanzisha Nyerere enzi za ujamaa yaani kuishi pamoja kama marafiki ndugu nyakati zote za kufa na kuzikana, hivyo basi ukiuvunja huu utaratibu ambao upo kwa miaka mingi ulete utaratibu wako tegemea machafuko.
Muulize DC wa arusha aliyewekewa jeneza la boda boda juu ya gari yake akazike yeye. Au muulize waziri flsni walichomfanyia madereva wa mabasi nchi nzima.
Siasa na kudumisha amani zinahitaji akili kubwa, kama wanaenda kuzika waachwe wakitoka huko watasambaa na kama unataka fujo wazuie
Soma kitabu cha machiaveli the prince kwa msaada zaidi
Kama ule Ukanda wangu imekuwa vurugu sasa...
Bodaboda akifa hata kiongozi wa Ibada hasikilizwi....utaratibu haufuatwi....Ni vurugu hadi unamuonea Marehemu huruma....
mchungaji au padri aheshimiwi kabisa, sijui sheikh naye ni vipi kwa hao vijana wenye fujo hadi msibaniKama ule Ukanda wangu imekuwa vurugu sasa...
Bodaboda akifa hata kiongozi wa Ibada hasikilizwi....utaratibu haufuatwi....Ni vurugu hadi unamuonea Marehemu huruma....
serikali yenyewe inaona ni kitisho ila inavumilia tu haina namna kufutilia mbali bajaji na bodabodaWawekewe utaratibu kama maandamano mengine. Wanaandamana na mapanga hadharani na kuleta fujo barabarani.
Hawa vijana wa bodaboda ni bomu linalosubiri kulipuka wasipodhibitiwa mapema. Hasa kwa huku mikoani.
Ukanda wako ni upi ma'am?