Mi nashangaa hawa viongozi sijui vipi jamani? eti ikitokea ajari tu ndo wanaanza kusema tunakagua leseni za wendesha pikipiki, inamaana muda wote hawajui kuwa wanawajibu huo?
Tuseme ukweli kila siku watanzania si chini ya watatu wanafariki kutokana na ajali na wizi wa pikipiki!swali sheria inaruhusu gari ya miguu 2 kubeba abiria?