Nguvu ya Hoja
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 276
- 125
hapo kwenye nyekundu kama tunabakana hivi? mmmmmmmm machale yamenichezaBodaboda mbili zinauzwa,zote zinafanya kazi za bodaboda jijini DSM,moja Tabata na nyingine Ubungo,namba za usajili ni BWT na CDF, mmiliki wake anahamia Mbeya hivyo anayehitaji awasiliane na mhusika,bei ni ni Tsh. 2.5m (milioni mbili na nusu kwa zote) Zingatia kuwa zinauzwa zote kwa pamoja.
Simu: 0772840880.
Ni aina ya sanmoto za kichina cc125 GN,kwa sasa nipo mbali nazo sina picha karibu,ila nitazipata baadae.Ni aina gani? Weka hata picha basi tuone muonekano wake kwa sasa.
Kwa nini machale yanakucheza,kwa vile mhusika anahama,akiuza moja,itamlazimu kupanga safari nyingine kuja kuuza ya pili,huoni kuwa hii itaongeza gharama?hapo kwenye nyekundu kama tunabakana hivi? mmmmmmmm machale yamenicheza