godson njamakuya
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 170
- 196
Huo ni uongomagari yanapokuwa kwenye foleni na wao wanapojaribu kupenya penya, side mirror za pikipiki zao hukwangua rangi kwenye magari ya watu na kusababisha kulipishwa fedha
Kuweka shoo fulani wanatoa na ile kava la taa ya mbele inanabaki taa tuu inaning'iniaIla tuacheni utani,hizi side mirror huwa wanazipeleka wapi?
Kuweka shoo fulani wanatoa na ile kava la taa ya mbele inanabaki taa tuu inaning'inia
Hili ni tatizo la nchi nzima. Na hata side mirror kwa pikipiki hizi za mchina zinazotumika kama bodaboda zimewekwa kama mapambo tu maana ziko chini mno kiasi cha mtumiaji hasa akiwa na kimo kirefu kupata tabu kuitumia, sijui walijipima wao!.Polisi wa Usalama barabarani inabidi wafuatilie ili kubaini ni kwanini pkpk nyingi za Kibaha hazina Side mirror.Utafiti mdogo nilioufanya baada ya kuwahoji baadhi ya madereva wa bodaboda walieleza kwamba wengi wameondoa vioo hivyo kwa madai kwamba, magari yanapokuwa kwenye foleni na wao wanapojaribu kupenya penya, side mirror za pikipiki zao hukwangua rangi kwenye magari ya watu na kusababisha kulipishwa fedha kutokana na uharibifu huo. Ni sababu ambazo hazina uzito kama usalama wa maisha yao na abiria wao.
Huo ni uongo wa wazi wazi, side mirro zinaishia karibia sawa ya upana wa ule usukani.Polisi wa Usalama barabarani inabidi wafuatilie ili kubaini ni kwanini pkpk nyingi za Kibaha hazina Side mirror.Utafiti mdogo nilioufanya baada ya kuwahoji baadhi ya madereva wa bodaboda walieleza kwamba wengi wameondoa vioo hivyo kwa madai kwamba, magari yanapokuwa kwenye foleni na wao wanapojaribu kupenya penya, side mirror za pikipiki zao hukwangua rangi kwenye magari ya watu na kusababisha kulipishwa fedha kutokana na uharibifu huo. Ni sababu ambazo hazina uzito kama usalama wa maisha yao na abiria wao.
[emoji30][emoji30] arusha wale wapo Dunia Yao peke yao