Bodaboda, vifo vingine mnajitakia!

Bodaboda, vifo vingine mnajitakia!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
20240330_154532.jpg

Hawana helmet!
Wanajipenyeza katikati ya matairi!
Mtu hajihurumii, kwa nini nimhurumie?
 
Huwa wanajiona wanahataka kuliko yeyote barabarani..
Wajuaji sheria zote huzijuwa wao, wabishi na watoa lugha chafu za matusi matakwa yao yasipotekelezwa humo njiani.
 
Nawe inatakiwa ujihurumie kwa maana kuna siku watakugonga pamoja na gari lako wakutoe uhai au wakutie ulemavu.
 
Kwani wanakufa wenyewe?

Abiria ndo muwe wakali, shida abiria wenyewe mnazikataa eti zinanukia au zitaharibu mawigi.
 
Back
Top Bottom