Bodaboda, vifo vingine mnajitakia!

Huwa wanajiona wanahataka kuliko yeyote barabarani..
Wajuaji sheria zote huzijuwa wao, wabishi na watoa lugha chafu za matusi matakwa yao yasipotekelezwa humo njiani.
 
Nawe inatakiwa ujihurumie kwa maana kuna siku watakugonga pamoja na gari lako wakutoe uhai au wakutie ulemavu.
 
Kwani wanakufa wenyewe?

Abiria ndo muwe wakali, shida abiria wenyewe mnazikataa eti zinanukia au zitaharibu mawigi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…