R.I.P JPMTazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma
Nonsensical stupidity ya UVCCMTazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma
mali ya umma ni kwa maslahi mapana ya taifa na waTanzania wote gentleman, hakuna haja ya porojo zaidi 🐒😂😀🤣😅😆CCM Imejiweka Madarakani Mji Wa Magufuli Wanaufuta
We chawa mnafiki, muongo unachukua picha zisizohusika unaweka hapo.kwahiyo hapa walijaa nyomi sana right? au hayo mabenchi matupu pia ni waamini?
angalia taratibu tu na itapendeza zaidi.
yaani watu waache kwenda makazini wababaike na huo unafiki?🐒
ujumbe au unafiki gentleman?🐒We chawa mnafiki, muongo huu ujumbe hapa unakuhusu..
View: https://youtube.com/shorts/l1YUIDk82E0?is=L1qnCPDBCx6d8ph6
Sasa kwanini tusifocus katika maendeleo na si katiba?Unadhani watu hawana fikra dada ?
Watu wana fikra vizuri tu tatizo la nchii hii ni umasikini
Hata uwe na PhD kama una njaa huna ujanja na CCM hilo wanalijua vizuri sana
Tuipate hiyo katiba kwanza
Tupate viongozi bora
Watakaoboresha mazingira ya elimu
Na kingine Watanzania sio wajinga kwa kiwango hicho issue ni ujasiri tu wa kuchukua action
Siku hao vijana wa bodaboda wakija kugundua kua hiyo 10 haitoshi na kutaka kuongezewa 29k na wasipewe hao hao ndio watafanya kitu
Anzeni mijadala wala hakuna shida juu ya hilo ila bila katiba hata hiyo mijadala utaiona michungu
Wewe unadhani nani atakupatia platform ya kuamsha vijana kama sio viongozi wenye utashi na ambao hawawezi kupata madaraka bila katiba mpya
Hawa wote unaosema ndio wanaweza kua fikra zao kua zimelala au hazijalala vile vile ni kwa vile wao wameshika kwenye makali
Katiba sio mpya tu
Ila katiba iwe Bora na pia katiba inatakiwa kuja na mabadiliko mengineo ikiwemo kwenye mihimili ya nchi uhuru wa mahakama ,bunge nk..........
Kila siku mfano ni Kenya why ?Sasa kwanini tusifocus katika maendeleo na si katiba?
Tumeshaona nchi za wenzetu, ikiwemo Kenya ambao wamefocus kupata ammendment za kikatib saana kiutawala mpaka kuandamana. But in return tumeishia kuona gen z wakuwawa tu na mengine to mengi.
Swala la katiba sio baya, ila tuna hiyo environment ya ku withstand hiyo katiba?
Umeshasema kuwa watanzania sio wajinga kiasi hicho! Sasa kwanini wasiwe mstari wa Mbele kuwa mabadiliko wanao yataka?
Issue sio katiba, ni kujidanganya mchana kweupe, miaka mingapi tunakaza kulilia katiba na wakati wa uchaguzi hongo na hela zikisha gawiwa mtaani watu wanafunga midomo?
Hata enzi za Magufuli, ilipofika muda wa jamaa Juana kubana matumizi na kutumbua ajira feki, mmatumbi huyo huyo anayepinga rushwa walianza kusema jamaa anabana matumizi.
Ukweli ni kwamba watanzania tunapenda kubishana tu, tunapenda ku fantasize mabadiliko ila kupitia pain ya mabadiliko hatutaki.
Wajapan sijui wachina wali hustle na kucontrol hadi vizazi vyao kuja kufikia uchumi walio nao, ila sisi mtikiso kidogo tu lawama kibao
Kuwa na uhuru wa kufanya unalo taka sio kigezo cha kukwepa ukweli, na kujichimbiavichwa chini kukataa kinacho kuomba taifa, nothing changes if nothing changesUna uhuru wa kufanya una chotaka kila la kheri mkuu
Tatizo lako unataka mtu akubali kila unachosema sitaki mabishano yasio na tija baki na mtazamo wako shida iko wapi haya ni maoni sio lazima tufanane ishi humoKuwa na uhuru wa kufanya unalo taka sio kigezo cha kukwepa ukweli, na kujichimbiavichwa chini kukataa kinacho kuomba taifa, nothing changes if nothing changes
Unaweza kuwa sahihi, ila mawazo yangu na alichosema Lema naona ni sahihi. Huwezi kuwa na taifa lenye maendeleo bila kubadilisha mtazamo wa watu. Katiba inaweza kuwa kama hapo Kenya tu, ila uzalendo ukakosekana na kila kitu kikaharibika.Mh. Lema yuko sahihi lakini nadhani katiba mpya ndio iwe chachu ya kubadili fikra za watanzania. Katiba mpya itakapotupatia viongozi waadilifu, hao ndio watakataa rushwa kama wanaopewa hao vijana, watakuwa ni viongozi kweli. Na katiba mpya ikiruhusu viongozi kuondolewa impunity hapo hao hao viongozi watakuwa waadilifu na watawaliwa watawafuata viongozi waadilifu wanafanya nini ama kusema nini
Ni ngumu sana sana kubadilisha fikra za watanzania kwa katiba iliyopo sasa.
Sijataka ukubaliane nami, na wala sijataka tujibizane huo ni mtazamo wako, nimeongea perspective zangu ambazo nadhani ziko viable kwa uhalisia ambao wengi wanaukwepa. Kama ungekuwa na hoja ya kuni challenge basi ningeweza kubadilika piaTatizo lako unataka mtu akubali kila unachosema sitaki mabishano yasio na tija baki na mtazamo wako shida iko wapi haya ni maoini sio lazima tufanane ishi humo
Sio lazima ni ku chalenge mimi hupenda mijadala na watu tunaolewanaSijataka ukubaliane nami, na wala sijataka tujibizane huo ni mtazamo wako, nimeongea perspective zangu ambazo nadhani ziko viable kwa uhalisia ambao wengi wanaukwepa. Kama ungekuwa na hoja ya kuni challenge basi ningeweza kubadilika pia
So hiyo mindset ya kudhani nataka uwe upande wangu itoe kabisa.
Kwani mimi kujibu comment yako hata kama unajadili na mwingine sio sawa? Nina uhuru wa kusema endapo nitaona inafaa hata kama ume QUOTE mtu mwingine.Sio lazima ni ku chalenge mimi hupenda mijadala na watu tunaolewana
Zingatia hua nataka kujenga hoja sio mabishano
Nili m quote mtu mwingine wala sikua kwenye mjadala na wewe
Wewe upo sahihi kwa upande wako kila la kheri mkuu