PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
You nailed it so perfectly sir.. πŸ™
 
Gunner niaje
 
ukitaka kugundua hilo angalia tu kijana wa marekani akija hapa bongo
na kijana mtanzania akienda marekani nani ana ng'ang'ana kukaa kwa mwenzie
Huu ni mfano mfu. Ni ulimbukeni tu unaosababisha watu fulani kung'ang'ania kwenye taifa la watu.
Mfano wako unge make sense vi nchi kama Burundi huko ila sio Tanzania.
 
Basi yaishe mkuu au unaonaje
 
Huu ni mfano mfu. Ni ulimbukeni tu unaosababisha watu fulani kung'ang'ania kwenye taifa la watu.
Mfano wako unge make sense vi nchi kama Burundi huko ila sio Tanzania.
Sasa mfano si umeleta wewe mi nikamalizia jamani et chris 😊
 
kwa yule mnafiki mkuu wa kanisa katoliki, sijui alikua anasalisha mabenchi πŸ’
Anakuvutia ndiomaana unamfuTilia! Ulienda kanisani ukakosa watu, au nawewe unajiandikia lolote tu litakalokuja kichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…