Taifa lina utani sana hili yani watu wenye matatizo wananmchangia mtu mwenye pesa akaendelee kuzichota pesa. Na hawa wamefanya hivi kwa sababu hiyo maboboda yenyewe wamepewa na Tulia huyo huyo
===
Leo tarehe 4 Machi, 2025 Umoja wa Madereva wa bodaboda Mbeya Mjini umemwomba Mbunge wa jimbo hilo, Dkt. Tulia Ackson, kugombea tena katika uchaguzi wa 2025 kutokana na utendaji wake mzuri. Katika kuthibitisha dhamira yao, wamechangia shilingi milioni moja kama mchango wa kuchukua fomu ya kugombea.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa ofisi zao Kata ya Ilolo, mwenyekiti wao, Aliko Fwanda ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema kuwa maendeleo hayana itikadi na wanahitaji Dkt. Tulia amalizie kazi aliyoianza.
Kwa upande wake, Dkt. Tulia amewashukuru na kuwaahidi kuendelea kuwatumikia kwa bidii. Pia amewataka wananchi kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Oktoba 2025 ili aendeleze maendeleo nchini.
Katiaka maandiko ya dini ya Kikristo yanasema, mwenye nacho ataongezewa na asiyekua nacho atanyang'anywa kabisa hata kile kidogo alichonacho. Haya yamedhihirika huko Mbeya kwa waganga njaa ambao pato lao ni shilingi elfu tano kwa siku, wanamchangia mtu anaetembelea V8 na kipato chake ni mara milioni kwa hao mbumbu TZ
Umoja wa madereva wa bodaboda wa Mbeya Mjini umemtaka Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Tulia Ackson, kurejea kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ili aendelee na kazi waliyomtuma ya kuwasogezea maendeleo ya haraka katika Jiji hilo. Katika kuthibitisha dhamira yao, wamechangia shilingi milioni moja kama mchango wa kuchukua fomu ya kugombea.
Kauli hiyo imetolewa leo, tarehe 4 Machi 2025, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ofisi za makao makuu ya Umoja huo katika Kata ya Ilolo. Mwenyekiti wa bodaboda, Ndg. Aliko Fwanda ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema kuwa hawako tayari kumpoteza Dkt. Tulia, kwani ameonesha utendaji mzuri na wanahitaji amalizie kazi aliyoianza.
Kwa upande wake, Dkt. Tulia amewashukuru madereva wa bodaboda kwa imani waliyoonesha kwake na ameahidi kuendelea kuwatumikia kwa bidii ili kuhakikisha anatekeleza mahitaji ya wananchi wa Mbeya Mjini.
Aidha, amewaomba bodaboda na wakazi wote wa Mbeya kuendelea kumuombea afya njema Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kujitokeza kwa wingi kumpigia kura mwezi Oktoba 2025 ili aweze kufanikisha yote wanayotamani kupata na kuendeleza juhudi za maendeleo nchini.
“Niwashukuru sana kwa mshikamano wenu. Ingawa kila mmoja wetu hapa ana chama chake cha siasa, tumethibitisha kuwa maendeleo hayana itikadi. Tuendelee kuwa wamoja kwa ajili ya ustawi wa Mbeya na Tanzania kwa ujumla,” amesisitiza Dkt. Tulia.

Taita hapa hidhi cheni dhangu ni mshahara wake na marupurupu yake yote ya uspika, thatha kaamua kuwachuka makada wa thithiemu na kujidai ni vijana wa Bodaboda ila bado nitamng'oa kwenye jimbo
Eti madai wameweka na buku buku zisiwe buku kumikumi peke yake ili kuleta uhalisia kuwa wame changishana kwelii.. 😀
Hivi najiuliza unaweza kumdanganya mtu kwa muda wote!!??? Kweli asishtuke.. Hata saa mbovu kuna muda husema ukweli.. Maigizoo mwaka huu yatakuwa mengi.. Tuliona ya muuza madafu ikulu.. Sembuse haya... 😀