Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

Manzile

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2020
Posts
701
Reaction score
1,900
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
 
Halafu hizo documents wanaenda kuzitupa hovyo maana hawaujui umuhimu wake,mwaka 2005 nikiishi Mabibo wakati huo kwa marehemu binam yangu alinipa bahasha kwa msisitizo kabisa “hakikisha hupitii popote mpaka huu mzigo umeufikisha nyumbani” nimetoka pale yaani metre hamsini nifike home wakaja wajinga wakanikwara ile bahasha wakakimbia nayo kumbe zilikuwa receipts za ku-renew ada ya silaha yake na ilikuwa aziwasilishe kwa mamlaka husika kesho yake tarehe iliyofuata kabla ada ya mwanzo haijawa expired.

Aisee jamaa nilipompa hizi taarifa akaniona mimi mzembe alinipiga vibao kama hanijui siku nne mbele nikaja kuiona ile bahasha imetupwa kwenye mtaro wa maji machafu huku nyuma jamaa ameshalipishwa fine,toka siku hiyo nikiona mwizi anapigwa wala simuonei huruma maana nazijua hasara zao zinavyouma.
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
Pole Sana brother kila kona vilio
 
Bodaboda ni wezi sana. Kuna kisa nilisikia wanavizia magari yakiwa yanasubiri kuingia getini majumbani hasa mida ya usiku wanavamia. Kama hujalock mlango au kupandisha vioo imekula kwako.
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
Pole sana!!
 
Halafu hizo documents wanaenda kuzitupa hovyo maana hawaujui umuhimu wake,mwaka 2005 nikiishi Mabibo wakati huo kwa marehemu binam yangu alinipa bahasha kwa msisitizo kabisa “hakikisha hupitii popote mpaka huu mzigo umeufikisha nyumbani” nimetoka pale yaani metre hamsini nifike home wakaja wajinga wakanikwara ile bahasha wakakimbia nayo kumbe zilikuwa receipts za ku-renew ada ya silaha yake na ilikuwa aziwasilishe kwa mamlaka husika kesho yake tarehe iliyofuata kabla ada ya mwanzo haijawa expired.

Aisee jamaa nilipompa hizi taarifa alinipiga vibao siku nne mbele nikaja kuiona ile bahasha imetupwa kwenye mtaro wa maji machafu huku nyuma jamaa ameshalipishwa fine,toka siku hiyo nikiona mwizi anapigwa wala simuonei huruma maana nazijua hasara zao zinavyouma.
Hawa jamaa ni wapuuzi mno
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
bila shaka ni mbagara huko...
hamia masaki mzee hzo vitu utaziona kwa luninga
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
Pole
 
Pole mkuu,unaenda pia kumkaba siku mbili 2 atarudisha kila kitu.
 
Au wale mnaotoka batani unasema ushuke ufungue geti wanakuvaaa. Ndomana nataka ninunue gun
Binadamu tumekua kama wanyama. Unaweza shushiwa kipigo kwa ajili ya simu tu. Ukiwa na mguu wa kuku unapaisha moja juu habaki mtu
 
Back
Top Bottom