Kuna sehemu tulienda, kurudi ilibidi nimuache sehemu alipohitaji Mimi nikaendelea na safari zingine. Alikuwa mbali kidogo na ulingo wa maeneo ya nyumbaniPole mkuu.
Shem HANA BODABODA WAKE?
Pole Sana brother kila kona vilioHaya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.
Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.
Pumbavu kabisa.
Pole sana!!Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.
Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.
Pumbavu kabisa.
Hawa jamaa ni wapuuzi mnoHalafu hizo documents wanaenda kuzitupa hovyo maana hawaujui umuhimu wake,mwaka 2005 nikiishi Mabibo wakati huo kwa marehemu binam yangu alinipa bahasha kwa msisitizo kabisa “hakikisha hupitii popote mpaka huu mzigo umeufikisha nyumbani” nimetoka pale yaani metre hamsini nifike home wakaja wajinga wakanikwara ile bahasha wakakimbia nayo kumbe zilikuwa receipts za ku-renew ada ya silaha yake na ilikuwa aziwasilishe kwa mamlaka husika kesho yake tarehe iliyofuata kabla ada ya mwanzo haijawa expired.
Aisee jamaa nilipompa hizi taarifa alinipiga vibao siku nne mbele nikaja kuiona ile bahasha imetupwa kwenye mtaro wa maji machafu huku nyuma jamaa ameshalipishwa fine,toka siku hiyo nikiona mwizi anapigwa wala simuonei huruma maana nazijua hasara zao zinavyouma.
bila shaka ni mbagara huko...Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.
Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.
Pumbavu kabisa.
Utakuwa under 18 wewe bila shakabila shaka ni mbagara huko...
hamia masaki mzee hzo vitu utaziona kwa luninga
Bodaboda ni wezi sana. Kuna kisa nilisikia wanavizia magari yakiwa yanasubiri kuingia getini majumbani hasa mida ya usiku wanavamia. Kama hujalock mlango au kupandisha vioo imekula kwako.
PoleHaya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.
Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.
Pumbavu kabisa.
Binadamu tumekua kama wanyama. Unaweza shushiwa kipigo kwa ajili ya simu tu. Ukiwa na mguu wa kuku unapaisha moja juu habaki mtuAu wale mnaotoka batani unasema ushuke ufungue geti wanakuvaaa. Ndomana nataka ninunue gun
Jibu swali kwanza, SHEMU HANA BODABODA WAKE?Kuna sehemu tulienda, kurudi ilibidi nimuache sehemu alipohitaji Mimi nikaendelea na safari zingine. Alikuwa mbali kidogo na ulingo wa maeneo ya nyumbani