BodaBoda wamepunguziwa adhabu ya Trafiki, wanakutana nayo kwenye LUKU

BodaBoda wamepunguziwa adhabu ya Trafiki, wanakutana nayo kwenye LUKU

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Nimesikitika kidogo hapa. Naamini wabunge watatupambania. Kama LUKU zitakuwa na Kodi ya Majengo basi ghalama za Maisha zitapanda mara dufu.

Kinyozi lazima apandishe bei, wauza vinywa vya baridi, Wachomelea vyuma n.k. Kubwa ni pale ambapo LUKU emebebeshwa zigo la Kodi ya Nyumba. Kuanzia mpangaji analipa kodi. Sipati picha kwa tunao share LUKU moja.

Bodaboda walifurahi kupunguziwa fine za traffic ila watapambana kwenye LUKU.
 
bajeti ya hovyo sana hii, boda hawajapunguziwa...akili za traffic ni kwamba elfu 30 itatimia tu..makosa matatu lazima yapatikane kwa kila boda
 
Back
Top Bottom