Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu,,.hawa ndugu zetu ambao wanaendesha bodaboda hali ya kuwa umri wao kidogo umesogea huwa wanakuwaga na ka ukoloni flani hivi.
Leo nikiwa nimetokea kigamboni,niliposhuka na pantoni pale ferry nilipointiwa na abiria alie kuwa akielekea jengo la RITA Tower..,,niliposimama ili niweze kufanya maelewano ya bei,ghalfa sna nilishtukia nimechomolewa ufunguo wa bike yangu pasipokutarajia na boda mmoja alionekana kama mzee hivi,,,alidai ninapakia abiria kwenye kijiwe chake.
Nilimtolea maneno makali sana..kiasi chakutaka kurusha ngumi..nilimwambia mzee wewe na umri wako huu sio wakugombania na mimi abiria wa bukubuku,,,wewe umri kama wangu ulikuwa unafanya nini?hakuna alichonizida zaidi ya watoto tu...nina boda na yeye anaboda,,nimepanga na yeye bila shaka amepanga chumba.
Halafu iweje baadhi ya boda wanawachagulia abiria boda ya kupanda?