Wadau naomba kuuliza anayechukua bodaboda ya mkataba ili kumpelekea kilasiku hesabu Boss 10,000 anaweza kuingiza Tzs ngapi kwasiku akifosi kwelikweli, sehemu ya kazi mtoni kijichi.
Faida ya dereva ni kubwa kuliko hata bosi kwani ktk siku 7 dereva anaweza akapiga siku 4 zote zake halafu hizo 3 wakagawana na mshua na maisha yakaendelea sema wengi wao hawaheshimu hesabu ya bosi ndo mana hawadumu na hiyo mikataba na tena kama dereva ukiamua kudabo hesabu utamaliza nusu ya muda mliokubaliana.