BODABODA:YANGA TUNAPENDA KUBEBWA | SIMBA WANAKIKOSI KIZURI LEO

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
1,302
Reaction score
2,462
Habari za jioni wakuu naimani wikendi inakwenda vema kabisa..sasa jioni hii wakati game ya simba na yanga inaendelea me niko kwenye mizunguko yangu ya kawaida tu,kifupi sifuatilii mpira kabisa maishani...sasa katika pamba zangu zaleo nilikomelea kapero NYEKUNDU bila kuwa na wazo kuhusu game...sasa nikapanda bodaboda jamaa kavaa njano mwanzo mwisho,alivyoona wekundu kichwani akajua mimi shabiki wa simba,akasema "Hakyanani leo yanga tunafungwa yani kipindi cha kwanza simba mmekaza mpira hatuupati kabisa kipindi cha pili ndo balaa" nikawa nacheka tu mana sina hata idea yani..akaendelea "kiukweli bora tufungwe tu ili tujifunze yanga tunapenda kubebwa sana...simba watatuwakilisha wanakoenda huko" nikabaki kucheka tu...ila wakuu nilipenda jamaa alivyo admit kua kikosi cha wapinzani kipo powa na ile kusema yanga wajifunze kwenye makosa nikaona kabisa jamaa yuko positive sana...mpaka sasa sijui game imeishaje ila ndo hivo wakuu ataefungwa pole ataeshinda Hongera

-ANKO JEI
 
Mkuu samahan,mi Niko uchina huku Ila kiswahili nilijifunza huku!Simba najua Ni Mnyama,na Yanga ndo kitu gani?Naomba unieleweshe
 
Mpira wa simba na yanga tatizo huwa kwa waamuzi, pressure ya mchezo mwamuzi huwezi kubadili maamuzi et! kisa mechi ni kubwa, kuna baadhi ya offside nyengine zilikuwa sio offside na kuna rafu nyengine ni RED card moja kwa moja.
 
Yanga inatia aibu mpira gani sasa ule. Tubadilishe watani wa jadi,
Pamoja na mpira mbovu wa yanga, simba walishindwa kushinda game ile. Niliangalia first half, Simba walipata clear cuts nyingi mno, wasisingizie lolote kutoka bila ushindi, Yanga played strategically to contain Simba coz Simba wapo vizuri kiufundi, ila kushindwa kupata magoli ni uzwazwa kwa wanasimba.

BTW, I'm neither a Simba fan nor a Yanga fan.
 
Yanga ilienda lala Bagamoyo kwa wazee wale walioibariki nchi kipindi cha ukoloni
 
Habari za jioni wakuu naimani wikendi inakwenda vema kabisa..sasa jioni hii wakati game ya simba na yanga inaendelea me niko kwenye mizunguko yangu ya kawaida tu,kifupi sifuatilii mpira kabisa maishani...sasa katika pamba zangu zaleo nilikomelea kapero NYEKUNDU bila kuwa na wazo kuhusu game...sasa nikapanda bodaboda jamaa kavaa njano mwanzo mwisho,alivyoona wekundu kichwani akajua mimi shabiki wa simba,akasema "Hakyanani leo yanga tunafungwa yani kipindi cha kwanza simba mmekaza mpira hatuupati kabisa kipindi cha pili ndo balaa" nikawa nacheka tu mana sina hata idea yani..akaendelea "kiukweli bora tufungwe tu ili tujifunze yanga tunapenda kubebwa sana...simba watatuwakilisha wanakoenda huko" nikabaki kucheka tu...ila wakuu nilipenda jamaa alivyo admit kua kikosi cha wapinzani kipo powa na ile kusema yanga wajifunze kwenye makosa nikaona kabisa jamaa yuko positive sana...mpaka sasa sijui game imeishaje ila ndo hivo wakuu ataefungwa pole ataeshinda Hongera

-ANKO JEI
Wewe shabiki wa Mikia fc, wacha mbwembwe.
 
Haji Manara mpira umemalizika anaandika ameamini uchawi upo..
nimemtafakari sana huyu jamaa...Anawaona wanachama na wapenzi wa Simba mazoba...kuna mtu asiyejua Kakolanya yuko kwenye kiwango bora..na nyie watu wa Simba mnameza uharo wake...Nilimuelewa kocha Patrick aliposema washambuliaji wa Simba hawakuwa effective (Ufanisi)..sasa Manara kwa kujua nyie washabiki mazoba anawajaza ujinga..nakumbuka mechi ya msimu uliopita matokea sare..Yanga walikosa face to face na kipa tatu na mijishuti ya Tshishimbi hakuna hata kiongozi mmoja wa Yanga aliongea ujinga..
 
Back
Top Bottom