ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Habari za jioni wakuu naimani wikendi inakwenda vema kabisa..sasa jioni hii wakati game ya simba na yanga inaendelea me niko kwenye mizunguko yangu ya kawaida tu,kifupi sifuatilii mpira kabisa maishani...sasa katika pamba zangu zaleo nilikomelea kapero NYEKUNDU bila kuwa na wazo kuhusu game...sasa nikapanda bodaboda jamaa kavaa njano mwanzo mwisho,alivyoona wekundu kichwani akajua mimi shabiki wa simba,akasema "Hakyanani leo yanga tunafungwa yani kipindi cha kwanza simba mmekaza mpira hatuupati kabisa kipindi cha pili ndo balaa" nikawa nacheka tu mana sina hata idea yani..akaendelea "kiukweli bora tufungwe tu ili tujifunze yanga tunapenda kubebwa sana...simba watatuwakilisha wanakoenda huko" nikabaki kucheka tu...ila wakuu nilipenda jamaa alivyo admit kua kikosi cha wapinzani kipo powa na ile kusema yanga wajifunze kwenye makosa nikaona kabisa jamaa yuko positive sana...mpaka sasa sijui game imeishaje ila ndo hivo wakuu ataefungwa pole ataeshinda Hongera
-ANKO JEI
-ANKO JEI