malkiamrembo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 386
- 231
Nahitaji ,, but nko Moro,, nafanyeje
Vipi kuhusu riba? unamaanisha papo kwa papo kwa Cash ni 2.1m halafu kwa mkopo ni 2,030,000??
Vipi kuhusu riba? unamaanisha papo kwa papo kwa Cash ni 2.1m halafu kwa mkopo ni 2,030,000??
Nina mashaka unaweza usipate kwa sababu taratibu zitabadilikaMwezi wa 3, ninayo hiyo save date.
Ila strategy nzuri sana mutauza saba
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tangazo vzr
Sent from my iPad using JamiiForums