Si muache kuzitumia au wanasiasa wanashikia watu fimbo wapande? Humu huwa nasema mimi sipandi bodaboda lakini kuna watu povu linawatoka wanasema najidai sijui naringa upuuzi mtupu. Kwani kabla bodaboda kuingia tulikuwa tunafikaje tuendako?Bodaboda hazikupaswa kuwa chombo cha kupakia abiria kibiashara...
Ujonga wa wanasiasa kama kawaiida umetufikisha kwenye hii kadhia...
Kabisa!! wale wahuni waliokuwa wanashinda kijiweni asbhi mpaka usiku wakivuta Bangi na madawa ya kulevya wengi wao sasa hivi ndio madereva wa bodabodaIla vijana wengi mno wamo huko aisee.
Kwa nini wao wawe tatizo na hawaziendeshi?Wanasiasa wa pande zote ni tatizo.
Si muache kuzitumia au wanasiasa wanashikia watu fimbo wapande? Humu huwa nasema mimi sipandi bodaboda lakini kuna watu povu linawatoka wanasema najidai sijui naringa upuuzi mtupu. Kwani kabla bodaboda kuingia tulikuwa tunafikaje tuendako?
Kuna bodaboda wenye akili zao,wanaendesha maisha yao kwa kazi hio. Kuna bodaboda wenye akili zao wanatusaidia sana kwenye delivery ya mizigo. Sasa upige marufuku bodaboda kwasbaabu ya wendawazimu fulani? Ni kama kupandisha bei mafuta ya taa kisa yanatumika kuchakachua diesel.Mwananchi mmoja kuacha kutumia bodaboda ni uamuzi binafsi ambao kwa namna moja au nyingine unaweza usiwe na matokeo makubwa kama ambavyo serikali ikiamua kuweka zuio...
Kuna bodaboda wenye akili zao,wanaendesha maisha yao kwa kazi hio. Kuna bodaboda wenye akili zao wanatusaidia sana kwenye delivery ya mizigo. Sasa upige marufuku bodaboda kwasbaabu ya wendawazimu fulani? Ni kama kupandisha bei mafuta ya taa kisa yanatumika kuchakachua diesel.
Inasikitisha sanaBodaboda hazikupaswa kuwa chombo cha kupakia abiria kibiashara...
Ujinga wa wanasiasa kama kawaiida umetufikisha kwenye hii kadhia...
Mmmmmh,Bora UKIMWI KULIKO BODABODA