Bodi inayofanya fukuza fukuza ndio iliyotakiwa ijiuzulu tu

Bodi inayofanya fukuza fukuza ndio iliyotakiwa ijiuzulu tu

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Yenyewe ndio ilisajili garasha kipa Ayoub kwa Bilion 3. Pesa iliyotosha kabisa kumotisha kikosi kizima mwaka mzima.

Yenyewe ndio iliyompangia kocha timu muda wote.

Yenyewe imeshindwa kumotisha wachezaji kabisa.

Imeshindwa kusimamia timu hadi ikaamua kutokuwa wamoja.

Inamakundi ndani ya timu.
Inaugonvi wa kinasilahi.

Mtawaonea wachezaji bure. Jinsi mlivyoendesha timu kihuni na kiupigaji ata mwendawazimu angewasaliti tu
 
Nitaunga mkono hoja Kwa nguvu zote kama Jaribu Tena ni miongoni mwa wajumbe wa Bodi.
 
Back
Top Bottom