MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
JF,
Kuna habari mpya ya kujenga uwezo wa Vyuo vya Elimu ya Juu 2009/10. Bodi itatoa mikopo kwa Waalimu/wanafunzi kusoma Masters na PhD ktk Vyuo vya Tanzania. Wanafunzi watakaopata mkopo ni wanaofundisha ktk vyuo hivi na ambao wana admission tayari na barua ya mwajiri!
My take:
This is a good move though late! Bodi ingeanza hii sera mapema ili kujenga uwezo wa hivi vyuo mapema zaidi.
Mwanafunzi wa shahada ya Uzamivu (PhD) huchukua mda mrefu miaka 4 na zaidi. Mpango huu ungeanza say 2004 sasa bunch ya waalimu wa kwanza ndo wangekuwa wanahitimu!
KUDOS BODI PAMOJA NA KUCHELEWA!

3.10 Postgraduate students
In order enhance adequacy of academic staff in local Higher Education Institutions, a limited number of loans will be available to academic staff pursuing masters and PhD courses. Loan applicants for Masters or PhD. Programmes must meet the following conditions:-
3.10.1 Must be a Tanzanian
3.10.2 Must have been admitted at accredited higher education institution in Tanzania.
3.10.3 A person who is not funded by other organizations or sources.
3.10.4 Must complete loan application forms (SLF4 and SLF2)
3.10.5 Must hold a first degree or advanced diploma with a minimum of Upper Second class (for applicants pursuing Masters degrees) or masters degree of Upper second class (for applicants pursuing PhD degrees).
3.10.6 Must be a teaching academic staff at an accredited higher learning institution in Tanzania.
3.10.7 The application should bear a recommendation letter from employer addressed to the Board supporting the request for post graduate loan
3.10.8 The employer must execute a guarantee for the borrower or a collective agreement to repay the loan on behalf of the borrower.
3.10.9 She/he must have started to repay a previous loan, if he/she is already a student loan beneficiary.