Bodi vipi jamani?

TEBOGO

Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Jamani bodi ndo imeamua kutuchunia sisi tuliokosa loan mana kulikuwa na tetesi kuwa ifikapo tar 1 mwez wa kumi wangetoa nafasi kwa wale waliokosa loan kwa priority facult kuomba tena lakin bado ni kimya.pia ni lin watatoa Batch nyingine ya loan naomba mnifafanulie wana JF mana chuo ndo nisharipoti na nishaanza masomo na any time watataka tuition fees
 

Mkuu we acha tu yaani hawa jamaa hawaeleweki kabisa.
 

ina maana umesajiliwa bila kulipa ada man?
 
Sasa umesajiriwa vip kama hujatoa ada hata kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…