Bodi wafanya ujinga,,,,eti ukimaliza miaka mitatu iliopita,,,upati mkopo,,hivi hii ni sababu kwel?

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Bodi ya mikopo imechekesha mwaka huu,,ukimaliza miaka mitatu iliopita ni moja ya kigezo cha kukunyima mkopo.hivi wanajua ni kwa nin mwanafunzi aliyehitimu kidato cha sita alikaa muda huo bila kuomba chuo?bodi wanajifanya awajui matatizo ya watanzania?watu wengi tumemaliza kidato cha sita,tulikosa ata fedha ya kuombea tcu na bodi!ikatulanzimu tukae kwanza mitaani,huku tukijishughulisha na shughuli za kulima nyanya,tuweze kupata fedha kwa ajili ya kuombea tcu na bodi!sasa cha ajabu tumejipinda kutafuta ela ya application,,,wao wanaleta sheria mpya,,,''You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:NOT ELIGIBLE FOR LOAN, COMPLETED FORM SIX/DIPLOMA MORE THAN THREE YEARS BACK''.Hivi hii sababu ya kutoa mtu msomi kweli,kumnyima mwanafunzi wa kitanzania mkopo!mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo,,,raisi kikwete tunaomba muondoe kwa kweli,,,maana watoto wa masikini elimu ya juu ni ndoto,,,kachemshaaaaaaaaaa,,,mtu akikaa muda mrefu nyumbani ajaomba chuo,maana yake ela ya kuombea hana!sasa unamnyimaje mkopo?hawa jamaa wanaakili kweli?aisee vijana tutaichukia nchi yetu sababu ya wajinga kama hawa,,,,
 
Waongooo..mbona kuna jamaa zangu wamepewa tena 100 ...medical course wao
 
Mnakumbuka 2006?...ni mwaka ambao watoto wengi wa wakulima walidrop vyuo kwa sababu division two kwa wanaume ilikua just like nothing...sasa wamekuja na hili, inaumiza, inatesa...
😡😡
 
Hii nchi sijui tufanyeje hili tupewe haki sawa kwa wote,,,,mim binafsi nona watoto wa vigogo na marafiki zao,,ndio watanzania,,,wenginu tunakuwa treated as not Tanzanian kwa kweli,
 
ebhn hz hbar sio za kwel kwan umezipata wap?na lin zimeanza maana mie mwnyew np chuo nilichil kama miaka mitatu ndo nimeomba mwak jana na nimepata tena asilimia zote nau np udsm naingia mwak wa pil so hz news evidence n nega labda utoe source mzeya
 
Mkopo muda mwingine ni kamali ila kwa wale wa wanaosomea koz za sayansi wengi wanapata mi ninarafiki zangu mwaka Jana walipata tena % wapo sua na Dit
 
mkopo mzuri ukiwa chuo ukianza kaz ndio hautauona uthaman tunakatwa kam kawaida saizi yaan kamshahara kanapungua
 
wana assume ushaka kitaa miaka mitatu nyuma na kufanya kazi hivyo unweza kjilipia ..hi ni asumption tu .na naona si kigezo sahii
 
wewe uckurupuke kujibu bila utafiti ina maana hata website ya HESLB huingii ukasoma instuction watu tumekosa mkopo mwaka jana wewe wasema habari sio za kweli...!!
 
Poleni sana kama hii habari ya kweli!!!!!

Ni kama liwalo na liwe vile...

Nchi yetu tunaitumikia kwa jasho na damu ila ni kama kuna watu wanafanya makusudi kuumiza wengine????!!!!
 
Mleta mada nakupa pole sana kwa hayo yaliokupata, Hii nchi haina mwenyewe. Kila mtu anaweza kufanya anachotaka. Ila nawe kama kweli umemaliza kidato ch sita na unaandika makosa namna hii hata mie siwezi kukuvumilia. Sasa kama Kiswahili unaandika namna hii itakuwaje kiingereza. Bila shaka ukiambiwa mistari ya Bongo Fleva hukosei
 
Dah nimeona kwenye tovuti yao hayo maelezo ila nime apply kibishi mkuu na kwakua ni yatima nimeweka na vyeti. nasubiri uamuzi wa bodi sasa!
 
mshakuwa watu wazima ndio mjue umuhimu wa vile visanduku vya kupigia kura
 
Mtoa Mada Nenda Kadownload Maelezo Waloyatoa,wamecategorize Vema Vigezo Vya Utoaji Mkopo.Nimeyasoma Vzr Na Bila Shaka Wewe Umekurupuka Bada Ya Kusoma Hcho Kgezo Cha Miaka Mitatu Na Kuja Kupost.Kwa Chini Yake Wamefafanua Vizuri Zaidi.Umeb*k* Maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…