Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Bodi ya Dawa na Sumu Nchini humo (PPB) imewaonya Wanawake dhidi ya matumizi ya Yoni Pearls, Dawa zenye Mchaganyiko wa Mimea mbalimbali ambazo zimepata umaarufu kwa kudaiwa kusafisha au kutibu Maambukizi ya mara kwa mara Ukeni
Katika taarifa yake kwa Umma, PPB imesema Dawa hizo ambazo wauzaji hushauri Wanawake kuziingiza ukeni na kuzitoa baada ya Saa kadhaa na wakati mwingine hadi Siku 2, hazijaidhinishwa kwa matumizi nchini humo na huweza kusababisha madhara katika via vya Uzazi vya Mwanamke
Kwa taarifa hiyo, PPB imepiga marufuku Usambazaji, Uuzaji au Matumizi ya Yoni Pearls, na bidhaa nyingine zisizosajiliwa zenye madai kama hayo
.........
Yoni Pearls: Poisons board warns women against use of vaginal detox pearls
Yoni Pearl as displayed on online store e-Bay.
The Pharmacy and Poisons Board (PPB) has warned Kenyan women against the use of Yoni Pearls, which has now gained popularity amongst women using it for ‘vaginal detoxification’.
In a public statement, PPB said that the vaginal pearls, which are also referred to as herbal tampons or cleansing pearls, are not authorized for use in Kenya.
“Their usage poses potential public health risks as the PPB cannot guarantee their quality, safety or efficacy,” the poisons board warned.
PPB warned against the distribution, supply, sale or use of Yoni Pearls, and any other unregistered products with similar claims.
It urged members of the public and healthcare providers to report all suspicious health products and technologies to the Board.
The notice follows a craze among women, who have been using Yoni Pearls to contain recurrent vaginal infections.
Other women seeking answers to reproductive health complications such as ovarian cysts and infertility have also sought refuge in the vaginal pearls.
Three pieces of the product is currently being sold at Ksh.650 on online stores.
A woman is advised to insert the tampon in their vagina, and pull out after two days
Citizen Digital