Wakubwa zangu shikamooni. Poleni kwa majukumu! Kuna kipindi niliwahi kusikia habari zisizo rasmi ya kwamba serikali ina mpango wa kufuta TSD (Teacher's Service Department), na kuleta Bodi ya Elimu.
Bodi hiyo, pamoja na majukumu mengine itasimamia nidhamu kwa waalimu. Usimamizi wa nidhamu utafanyika kupitia utoaji wa cheti kwa mwalimu. Ikiwa kama mwalimu atakiuka kanuni za kazi, atanyang'anywe cheti, hivyo, kukosa sifa ya kufundisha.
Naomba kujua kama ni kweli au sio kweli. Kama ni kweli, je italeta madhara gani kwenye Elimu ya Tanzania?.
Naweza kuwa sipo sahihi sana, ila kwa kuwa mimi ni binadamu, hivyo, nakubali kukosolewa. Mchango wako ni muhimu.