Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Bodi ya Filamu Hapa Nchini Imetangaza Rasmi Kumfungulia Star wa Filamu Hapa Nchini Wema Sepetu Sehemu ya Adhabu Ambayo Walimpatia Kutokana na Video Yake Kusambaa Kwenye Mitandao ya Kijamii Ikimuonesha Yupo Kimahaba na
Katika Mkutano na Waandishi wa Habari Bodi Imeeleza Kuwa Haijamfungulia Wema Sepetu Kwa Kumuonea Huruma Ila Wamefanya Hivyo Kwa Sababu Ametekeleza Aslimia 75 ya Mambo waliyomuagiza Ayafanye
Wema amesema Kuwa Hatorudia Tena Kosa Kwani Ilikua Mara ya Kwanza Kufungiwa na Bodi Lakini Pia Akionesha Furaha Kubwa ya Kupata Msamaha Huo