Bodi ya league na SSC

Bodi ya league na SSC

kastro

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
1,011
Reaction score
629
Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura tafurahi sana kama ile refarii iliyo chezesha Simba na KMC pale kirumba atapewa mechi mingi ya simba simu hii kwanza nisamehe sababu bado sijatoa shukuran kwa kunipangia poro nyingi simu iliyopita mpaka nikapata kombe !
 
*BREAKING NEWS*

```Kutokana na sheria mpya za CAF , Yanga ikitolewa Champions ligi itaenda Shirikisho. Pia kutokana na sheria mpya za CUF ya Lipumba, Simba ikitolewa Champions Ligi itaenda mojakwamoja Nangwanda Sijaona kupambana na Ndanda.```
 
Mwaka huu kama iko banda dege basi iko enda Bombay tu kuuza baazi! ile ud sogo ni timu baya sana ile.
Ila kwa kweli sijafurahiswa kabisa mnyama kutolewa.
 
Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura tafurahi sana kama ile refarii iliyo chezesha Simba na KMC pale kirumba atapewa mechi mingi ya simba simu hii kwanza nisamehe sababu bado sijatoa shukuran kwa kunipangia poro nyingi simu iliyopita mpaka nikapata kombe !
Mkuu, nahisi kwa nini TFF wamesisitiza msimu huu hawataki viporo.
 
*BREAKING NEWS*

```Kutokana na sheria mpya za CAF , Yanga ikitolewa Champions ligi itaenda Shirikisho. Pia kutokana na sheria mpya za CUF ya Lipumba, Simba ikitolewa Champions Ligi itaenda mojakwamoja Nangwanda Sijaona kupambana na Ndanda.```
Waoneeni huruma kidogo.
 
Mkuu, nahisi kwa nini TFF wamesisitiza msimu huu hawataki viporo.
Ba timu yao teule watakuwa mbogo sana kwa Yanga. Ipo hatari Yanga ikatua leo na kucheza VPL kesho yake.
 
Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura tafurahi sana kama ile refarii iliyo chezesha Simba na KMC pale kirumba atapewa mechi mingi ya simba simu hii kwanza nisamehe sababu bado sijatoa shukuran kwa kunipangia poro nyingi simu iliyopita mpaka nikapata kombe !
Kuthibitisha hilo...Yanga katoka Botswana kesho game taifa. Simba kacheza hapa hapa na kukalia,mchezo wake mpaka Alhamisi.
 
*BREAKING NEWS*

```Kutokana na sheria mpya za CAF , Yanga ikitolewa Champions ligi itaenda Shirikisho. Pia kutokana na sheria mpya za CUF ya Lipumba, Simba ikitolewa Champions Ligi itaenda mojakwamoja Nangwanda Sijaona kupambana na Ndanda.```
haaa haaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom