Mwezi mchanga.....
Sasa tutapumua viporo vya TFF. Mikia walidekezwa kwa kuwekewa viporo vingi, sasa labda viporo vya Ndanda na Ruvu shooting.Duhh! Domo limepata uji
Mkuu, nahisi kwa nini TFF wamesisitiza msimu huu hawataki viporo.Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura tafurahi sana kama ile refarii iliyo chezesha Simba na KMC pale kirumba atapewa mechi mingi ya simba simu hii kwanza nisamehe sababu bado sijatoa shukuran kwa kunipangia poro nyingi simu iliyopita mpaka nikapata kombe !
Waoneeni huruma kidogo.*BREAKING NEWS*
```Kutokana na sheria mpya za CAF , Yanga ikitolewa Champions ligi itaenda Shirikisho. Pia kutokana na sheria mpya za CUF ya Lipumba, Simba ikitolewa Champions Ligi itaenda mojakwamoja Nangwanda Sijaona kupambana na Ndanda.```
Ba timu yao teule watakuwa mbogo sana kwa Yanga. Ipo hatari Yanga ikatua leo na kucheza VPL kesho yake.Mkuu, nahisi kwa nini TFF wamesisitiza msimu huu hawataki viporo.
Kuthibitisha hilo...Yanga katoka Botswana kesho game taifa. Simba kacheza hapa hapa na kukalia,mchezo wake mpaka Alhamisi.Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura tafurahi sana kama ile refarii iliyo chezesha Simba na KMC pale kirumba atapewa mechi mingi ya simba simu hii kwanza nisamehe sababu bado sijatoa shukuran kwa kunipangia poro nyingi simu iliyopita mpaka nikapata kombe !
haaa haaaaaaaaaaaaa*BREAKING NEWS*
```Kutokana na sheria mpya za CAF , Yanga ikitolewa Champions ligi itaenda Shirikisho. Pia kutokana na sheria mpya za CUF ya Lipumba, Simba ikitolewa Champions Ligi itaenda mojakwamoja Nangwanda Sijaona kupambana na Ndanda.```