maanayake nyuma mwiko na pamba ni GSM mdogo lazma ampishe mkubwaWadau kila mtu hapa Tanzania anafahamu kwamba timu ya Yanga ina vina saba na timu ya pamba miaka na miaka sasa. Kwa upande mwingine timu ya Simba na Costal union ni mapacha kabisa. Sasa hii ratiba ya Yanga kucheza jana na Pamba na Simba kucheza leo na Costal wapanga ratiba walitaka kufikisha ujumbe gani kwa wadau wa mpira?
Nipingane na wewe kuwa Pamba ina vinasaba na Yanga; fatilia vizuri historia ya timu hizi miaka hiyo ya 90 kila zilipokua zinakutana matokeo yake; pia kuhusu usajili Simba ilichukua wachezaji kutoka Pamba kwa urahisi zaidi kuliko Yanga; labda pengine umechanganya Mwanza kuna Toto Africa na Pamba (timu kongwe) hawa Toto Africa ndio pacha wa Yanga; huu ushkaji umeanza msimu huu tu baada ya udhamini wa GSM kwa Pamba hata huku Mwanza kumekua na kelele nyingi tu kuhusu hili; hayo ya Simba na Costal nawaachia wenyewe;Wadau kila mtu hapa Tanzania anafahamu kwamba timu ya Yanga ina vina saba na timu ya pamba miaka na miaka sasa. Kwa upande mwingine timu ya Simba na Costal union ni mapacha kabisa. Sasa hii ratiba ya Yanga kucheza jana na Pamba na Simba kucheza leo na Costal wapanga ratiba walitaka kufikisha ujumbe gani kwa wadau wa mpira?
Na Coastal Union ni GSM piamaanayake nyuma mwiko na pamba ni GSM mdogo lazma ampishe mkubwa
Hapo kwa pamba kuwa na vinasaba na yanga umebugi pakubwa, Simba ndio yenye vinasaba na pamba yanga alikuwa na vinasaba na Toto African na sio pamba familia historia vizuri!Wadau kila mtu hapa Tanzania anafahamu kwamba timu ya Yanga ina vinasaba na timu ya Pamba miaka na miaka sasa. Kwa upande mwingine timu ya Simba na Costal union ni mapacha kabisa. Sasa hii ratiba ya Yanga kucheza jana na Pamba na Simba kucheza leo na Costal wapanga ratiba walitaka kufikisha ujumbe gani kwa wadau wa mpira?