jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
baada ya huu mkanganyiko nimeendelea kutafuta marejeo ya kisheria yanayohusu mpira wa soka duniani.
bado sijaona kanuni hizi za bodi ya ligi yetu walizitohoa kutokea wapi.
na matokeo yake bodi imejipa mamlaka isiyohusika nayo.
kama huo ndio ukweli basi TFF na bodi ya ligi zitafaa kifumuliwa na kusukwa upya kwani watakuwa wameingiza kanuni zisizohisiana na soka.