Tafuta wanasheria wakueleweshe tofauti kati ya sheria na kanuni.baada ya huu mkanganyiko nimeendelea kutafuta marejeo ya kisheria yansyohusu mpira wa soka duniani.
bado sijaona kanuni hizi za bodi ya ligi yetu walizitohoa kutokea wapi.
na matokeo yake bodi imejipa mamlaka isiyohusika nayo.
kama huo ndio ukweli basi TFF na bodi ya ligi zitafaa kifumuliwa na kusukwa upya kwani watakuwa wameingiza kanuni zisizohisiana na soka.
nimekuwekea kanuni...ambazo zinatokana na sheria ya mpira .Tafuta wanasheria wakueleweshe tofauti kati ya sheria na kanuni.
Kwa ufupi tu kuwa kuna sheria za mchezo (law of the game) kwa mpira hizi huundwa ma FIFA chini ya chombo maalum kinachosimamia marekebisho ya sheria hizo(mpaka sasa zipo 17 tu).
Then kuna kanuni za mashindano hizi huundwa kulingana na mazingira ya mashindano husika mfano ligi kuu ya tanzania haya mi mashindano ambayo yana kanuni zake mbali sheria za mchezo wa soka(law of the game) na kila mashindano(mfano ligi mbalimbali duniani) zina kanuni zake kulingana na nchi husika.
Hao IFAB hawasimamii kanuni wao wanasimamia sheria
Siasa inahusiana na Sheria.kuna wakati unapaswa kuupima mjadala kama unaweza kuendana nao au la.Hata kama wewe ni jingalao, ndio hujui hili ni jukwaa la siasa?
Ngoja tukuache na jina lakonimekuwekea kanuni...ambazo zinatokana na sheria ya mpira .
unapotohoa unatakiwa uwe na basis ya kutohoa ....sasa hapa napata shida wakati wanatohoa walitohoa kutokea angle ipi ya sheria mama za mchezo??
Unauchukulia serious mpira wa vilabu hapa Tanzania! Ule upuuzi ulioko kwenye siasa za Tanzania unaaongozwa na ccm, ndio huo huo uko kwenye soka letu.baada ya huu mkanganyiko nimeendelea kutafuta marejeo ya kisheria yansyohusu mpira wa soka duniani.
bado sijaona kanuni hizi za bodi ya ligi yetu walizitohoa kutokea wapi.
na matokeo yake bodi imejipa mamlaka isiyohusika nayo.
kama huo ndio ukweli basi TFF na bodi ya ligi zitafaa kifumuliwa na kusukwa upya kwani watakuwa wameingiza kanuni zisizohisiana na soka.
Yaani huwezi kunipangia, nafanya navyotakaSiasa inahusiana na Sheria.kuna wakati unapaswa kuupima mjadala kama unaweza kuendana nao au la.
kama huna uwezo wa kiwango cha mjadala wrwe like halafu endelea kusoma.