Bodi ya ligi kuanza kutumia mfumo wa video kutoa adhabu

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Bodi ya ligi TANZANIA itaanza kutumia mfumo wa VIDEO kutoa adhabu kwa vilabu, mshabiki, pamoja na waamuzi katika msimu mpya wa ligi baada ya sheria 16 kufanyiwa marekebisho na shirikisho la soka DUNIANI FIFA.

Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi BONIFACE WAMBURA amesema kutokana na marekebisho ya sheria sasa mfumo wa kuangalia makosa kwa njia ya VIDEO utaanza kutumika katika ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…