Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kuelekea mchezo mkubwa wa Watani wa jadi (Kariakoo Derby) kati ya Yanga na Simba, bodi ya ligi imetangaza viingilio katika mchezo huo utakaochezwa 20/04/2024 katika dimba la Taifa Benjamini Mkapa
Majukwaa na bei zake
VIP A - TSH 50,000
VIP B - TSH 30,000
VIP C - TSH 20,000
VITI VYA RANGI YA MACHUNGWA - TSH 10,000
MZUNGUKO - TSH 5,000
Bodi ya ligi inasisitiza watu kununua tiketi mapema kuepuka usumbufu kwenye mchezo huo muhimu wa Ligi Kuu
NB: Yanga atakuwa mwenyeji wa mchezo huo wakati Simba akiwa ni Mgeni