Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Umeniwahi, Nini maana ya kuwa timu mwenyeji.Kumbe bodi ndo huwa ina panga vi ingiliio na sio timu ili home
Tumia fursa hii upige hela, mpe milioni khanjbay upate milioni hamsini Uto wakiibuka kidedea.Kwa ushauri wangu Simba wasilete timu
Mnyama siku hizi haaminiki!Gem ishaisha kitambooo , Mnyama anashinda japo kinyonge!!