John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hata Ulaya Refa akikataa goli au kuonesha offside isiyo kweli anafungua?Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika
View attachment 2116212
View attachment 2116213
Tusitetee ujinga, kuhusu suala la muda wa nyongeza Bumbuli alipuyanga na hakuonyesha weledi kabisa,kulinganisha dakika za nyongeza kwa timu za Simba na Yanga ni ujinga kwani kigezo cha muda wa nyongeza ni matukio yanayotokea kupelekea mchezo kusimama,hivyo huwezi kutoa jumuisho Kwa matukio yasiyofanana wala kulingana. Na pia hizo dakika za nyongeza alicheza Simba peke yake na timu pinzanani ilikuwa imekaa chini? Hoja zao nyingine kiasi zilikuwa na mashiko lakini hili la muda wa nyongeza ni ujinga tu.Bodi ya ligi yenyewe inaongozwa na vilaza tu. Wanatia onyo kwa kosa gani? Kama wangekuwa na makosa, imekuwaje sasa wamejikosha tena kuwafungia hao waamuzi wao wa michongo?