Bodi ya ligi yenyewe inaongozwa na vilaza tu. Wanatoa onyo kwa kosa gani? Kama wangekuwa na makosa, imekuwaje sasa wamejikosha tena kuwafungia hao waamuzi wao wa michongo?
Bodi ya ligi yenyewe inaongozwa na vilaza tu. Wanatia onyo kwa kosa gani? Kama wangekuwa na makosa, imekuwaje sasa wamejikosha tena kuwafungia hao waamuzi wao wa michongo?
Tusitetee ujinga, kuhusu suala la muda wa nyongeza Bumbuli alipuyanga na hakuonyesha weledi kabisa,kulinganisha dakika za nyongeza kwa timu za Simba na Yanga ni ujinga kwani kigezo cha muda wa nyongeza ni matukio yanayotokea kupelekea mchezo kusimama,hivyo huwezi kutoa jumuisho Kwa matukio yasiyofanana wala kulingana. Na pia hizo dakika za nyongeza alicheza Simba peke yake na timu pinzanani ilikuwa imekaa chini? Hoja zao nyingine kiasi zilikuwa na mashiko lakini hili la muda wa nyongeza ni ujinga tu.