MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale,
Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele pamoja na ugumu huo wa ratiba.
Leo unasikia bila sababu yoyote ya msingi eti mchezo umeahirishwa! wakati huo kuna timu bado zina viporo! hii bodi inapaswa kujitafakari.
#DaimaMbele #NyumaMwiko