MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mmepigwa kimoja cha nguruwe mmeanza kupata kichefuchefu na kutapika. Hii ni ligi aliewaambia "Yanga hii mtaifungaje amewadanganya". Mkae kwa kutulia. Njia rahisi ya kuwa bingwa ni kushinda mechi zako zote.Inasikitisha sana kuona boodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale, Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele pamoja na ugumu huo wa ratiba. Leo unasikia bila sababu yoyote ya msingi eti mchezo umeahirishwa! wakati huo kuna timu bado zina viporo! hii bodi inapaswa kujitafakari.
#DaimaMbele #NyumaMwiko
Askari hajapumzika mechi ngumu mfululizo, Bado kacheza wakiwa pungufu dakika za mapema kabisa, tena uwanja wa nyumbani wa Azam! anastahili kusinzia ikibidi apewe shuka hapo!
Ujuha ni kumcheka mwenzako wakati wewe umekalia 5,1,1,1.... na upo shirikisho hukoMmepigwa kimoja cha nguruwe mmeanza kupata kichefuchefu na kutapika. Hii ni ligi aliewaambia "Yanga hii mtaifungaje amewadanganya". Mkae kwa kutulia. Njia rahisi ya kuwa bingwa ni kushinda mechi zako zote.
Nyie mmeshinda mechi zenu zote?Mmepigwa kimoja cha nguruwe mmeanza kupata kichefuchefu na kutapika. Hii ni ligi aliewaambia "Yanga hii mtaifungaje amewadanganya". Mkae kwa kutulia. Njia rahisi ya kuwa bingwa ni kushinda mechi zako zote.
Ligi bado sana. Acheni kulialia. Kazeni mwisho wa msimu atakayekuwa na pointi nyingi atakabidhidhwa trophy. Hamkawii kuanza kumlilia mama.Nyie mmeshinda mechi zenu zote?
Yaani unamshauri anayeongoza ligi badala ya kumshauri anayeshika nafasi ya tatuMmepigwa kimoja cha nguruwe mmeanza kupata kichefuchefu na kutapika. Hii ni ligi aliewaambia "Yanga hii mtaifungaje amewadanganya". Mkae kwa kutulia. Njia rahisi ya kuwa bingwa ni kushinda mechi zako zote.
kwamba Dar yote hakuna kiwanja kingine mbadala? mbona wanaume Yanga walinyimwa uwanja wa Mkapa ila wakapambana kiume?Mmepigwa Kimoko tu mmeanza kupagawa.
Mchezo umesogezwa mbele kwa Siku Moja kwasababu uwanja wa Kmc una matumizi wa mchezo wa Ligi kuu ya Wanawake
Nyie si ndo mlijinasibu kua Uwanja wa Azam ni uwanja wenu leo hii mmeanza kulialia, mngepeleka Mchezo Zanzibar safari hii kimewashinda nini kujipendekeza kupeleka huko Zanzibar
kmmke πMmepigwa kimoja cha nguruwe mmeanza kupata kichefuchefu na kutapika. Hii ni ligi aliewaambia "Yanga hii mtaifungaje amewadanganya". Mkae kwa kutulia. Njia rahisi ya kuwa bingwa ni kushinda mechi zako zote.
ππππ Mpaka aibu naona mimi! Yaani mtoto wa shirikisho anataka kumshauri kaka aliyepo Club Bingwa!Yaani unamshauri anayeongoza ligi badala ya kumshauri anayeshika nafasi ya tatuView attachment 3144058
Inasikitisha sana kuona boodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale, Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele pamoja na ugumu huo wa ratiba. Leo unasikia bila sababu yoyote ya msingi eti mchezo umeahirishwa! wakati huo kuna timu bado zina viporo! hii bodi inapaswa kujitafakari.
#DaimaMbele #NyumaMwiko
Alisikika shabiki mlevi wa utopolo akiropoka..bado hamjasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ninkweli bodi ya Ligi mwishowe wataishia ku dhalilika, hakuna namna Simba ita chukua Ubingwa mbele ya Yanga iliyopo.
Ata Yanga isipo Fanya usajili wowote dilisha dogo na Simba ikaongeza wachezaji Bado Yanga ata twaa Ubingwa.
Mechi ya Yanga na Azam ambayo Yanga ilipoteza , Imeonyesha Kuna Daraja kubwa Sana alipo Yanga na timu zinazo shindania Ubingwa.
Kwa ujumla Yanga Bingwa.