rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Karia FC anahusika.Nimeangalia mechi zinazohusu timu yangu ya Simba, Simba walicheza na Ihefu Mbeya halafu wakaja kucheza na Mtibwa Moro baadae Dar es salaam Simba itaenda kucheza Sumbawanga na Prison baadae itaenda kucheza na Yanga Dar, Simba itaenda kucheza na Mbeya city Mbeya baada itaenda kucheza na Namungo Ruangwa Lindi.
Kwa udhamini uliopo timu kurudi mara tatu sehemu moja ni kuionea ilitakiwa Simba ikienda Mbeya imalizane na timu zote za ukanda huo yaani Mbeya na Sumbawanga hapa tunazungumzia timu yenye uwezo kifedha mbona Azam kacheza na Mbeya city halafu kaenda Sumbawanga kucheza na prison vipi zile timu ndogo zisizo na uwezo hii bodi ina maneno mengi kuliko vitendo
Nachozungumzia ni gharama ambazo klabu zinaingia kutokana na ubovu wa upangaji wa ratiba wakati udhamini ukiwa mdogoKaria FC anahusika.
Mo yupo Mikia fc.Nachozungumzia ni gharama ambazo klabu zinaingia kutokana na ubovu wa upangaji wa ratiba wakati udhamini ukiwa mdogo
Unatulalamikia hapa sisi tukusaidie nini sasa kwa mfano??Nimeangalia mechi zinazohusu timu yangu ya Simba, Simba walicheza na Ihefu Mbeya halafu wakaja kucheza na Mtibwa Moro baadae Dar es salaam Simba itaenda kucheza Sumbawanga na Prison baadae itaenda kucheza na Yanga Dar, Simba itaenda kucheza na Mbeya city Mbeya baada itaenda kucheza na Namungo Ruangwa Lindi.
Kwa udhamini uliopo timu kurudi mara tatu sehemu moja ni kuionea ilitakiwa Simba ikienda Mbeya imalizane na timu zote za ukanda huo yaani Mbeya na Sumbawanga hapa tunazungumzia timu yenye uwezo kifedha mbona Azam kacheza na Mbeya city halafu kaenda Sumbawanga kucheza na prison vipi zile timu ndogo zisizo na uwezo hii bodi ina maneno mengi kuliko vitendo
hiyo mikia nye ndo mnakalia vizuriMo yupo Mikia fc.
Nenda fb ukakae na watoto wenzako huku umeingia kimakosaUnatulalamikia hapa sisi tukusaidie nini sasa kwa mfano??
Nenda kawalalamikie viongozi wako walioenda kuomba kuanza kucheza na timu za ligi daraja la kwanza ili waongoze ligi kiubweche bweche [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]